image

Afrika

Afisi ya Afrika ya Shirika la Manzingira la Umoja wa Mataifa inasaidia bara katika juhudi za kutaka kuwa na maendeleo endelevu.

In Focus

UNEP Statement on COVID-19

What's New

Help Fight COVID-19

Get Involved

Compendium of Technologies for Treatment / Destruction of Healthcare Waste

Publication Alert
Changamoto
Africa inakabiliana na changamoto kubwa kwa mazingira, ikiwa ni pamoja na uharibifu wa ardhi, ukataji wa miti, upunguaji wa bayoanuai na ina uwezekano mkubwa wa kuathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi.

Lakini eneo hili – linalotoa makazi kwa takribani asili mia 15 ya jumla la idadi ya watu duniani na pia kwa aina ya viumbe wake wa kipekee – lina uwezekano mkubwa la kuwa na maendeleo ya kudumu na kuhifadhi mazingira.

Soma zaidi



  • Kuhusu afisi hii
  • Kikosi chetu

Afisi ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inapatikana Nairobi, Kenya. Pia tuna afisi ya ukanda wa Afrika Magharibi nchini Kodevaa, afisi tunayoshirikiana nayo nchini Ethiopia na afisi nyingine afisi ya Afrika Kusini.

Tunafanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na Kongamano la Mawaziri kotoka Afrika Kuhusu Mazingira (AMCEN), liloanzishwa mwaka wa 1985 kutokana na kongamano la mawaziri wa mazingira kutoka Afrika, lililofanyika Cairo, Misri. 

 Soma zaidi kuhusu afisi yetu au pitia kwa vijijarida vyetu vya awali.

mapa africano

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, Afisi ya Afrika

NOF Block 2, Level 1, South-Wing
S.L.P 30552, 00100
Nairobi, KENYA

Afisi yetu inaongozwa na Murugenzi wa Kanda Juliette Biao Koudenoukpo, mzaliwa wa Benin. Orodha kamili ya wafanyakazi wetu inapatikana hapa.