niños

Amerika ya Latini na Karebian

Afisi ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa ya Amerika ya Latini na Karebian inafanya kazi kuboresha mapato kupitia mfumo bora wa ekolojia.

Latest

One Health Joint Plan of Action to address health threats to humans, animals, plants and environment

Read more

Frontiers 2022 - Wildfires in Latin America: a burning issue

Events

Analysis of the food waste situation in Bogota (in Spanish)

Publications
Changamoto
Amerika ya Latini na Karebian ni makao kwa idadi kubwa mno ya bayoanuai na mali ghafi, rasilimali ambazo ni msingi wa chumi nyingi za eneo hili.
Matukio:

COP 15 of the Cartagena Convention and Blue Economy Summit.

UN Environment leads the strategy to transform the cooling market in the Dominican Republic.



  • Kuhusu afisi hii

Afisi ya eneo la Amerika ya Latini na Karebian ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa inapatikana katika Mji wa Panama, Panama. Pia tuna afisi Brazili, Jamaika, Meksiko na Uruguai. Kupata orodha nzima ya jinsi ya kuwasiliana nasi, tafadhali bonyeza hapa.

Kujifahamisha zaidi kuhusu kazi zetu, angaanga infographics zetu au makala ya hivi karibuni ya kijijarida chetu.

rolac

Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, eneo la Amerika ya Latini na Karebian

Building 103, Av. Morse
City of Knowledge, Clayton
Panama City, Panama         
Tel: (507) 305 3100