Faragha

Ilani ya UNEP kuhusu Faragha

Kwa kutembelea tovuti yetu, taarifa fulani kuhusu Mtumiaji, kama vile anwani za Protokali ya Intaneti (IP), kuchakurachakura tovuti yetu, programu uliyotumia na mda uliotumia, pamoja na taarifa zingine za namna hiyo zitahifadhiwa kwenye sava zetu. Hii si kwa lengo la kumubaisha Mtumiaji.

Taarifa hizo zitatumiwa kuchanganua idadi ya watu wanaotembelea wavuti yetu. Iwapo Mtumiaji atatoa taarifa maalum za kujitambulisha, kama vile jina lake, anwani yake na taarifa zinginezo kwenye fomu iliyohifadhiwa katika tovuti hii, taarifa za namna hiyo zitatumiwa tu kuonyesha data na wala hazitachapishwa ili kumfikia yeyote. Hata hivyo, UNEP haitawajibikia usalama wa taarifa hizi.