Wanawake huathirika sana kutokana na athari za mabadiliko nchi na majanga mengine yanayokabili mazingira, hasa katika nchi zinazoendelea.