Kemikali na taka hupatikana karibu kwa kila sekta katika jamii. Ni muhimu kuzishughulikia kwa njia mwafaka ili kumlinda binadamu na kuhifadhi mazingira.