Licha ya ahadi zilizotolewa kwenye Mkataba wa Paris, joto ulimwenguni linaweza kuongezeka kwa selisiasi 3.4 katika karne hii, hali itakayolazimisha watu kukabiliana na ruwaza mpya ya hali ya hewa.