Banner image

Malengo ya Maendeleo Endelevu.

Tunashughulikia vipengele vya mazingira vya Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu.

Changamoto

Katika mwaka wa 2015, jamii ya kimataifa iliidhinisha malengo makuu 17, kila mojawapo likiwa na malengo yaliyofafanuliwa yanayonuiwa kufikiwa ifikiapo mwaka wa 2030, au hata mapema zaidi.

The Work