img

Misitu

Tunasaidia kutunza misitu ili kuwa na manufaa kwa jamii kwa uchumi na kwa mazingira.

Changamoto

Ukataji wa miti unaendelea katika kiwango cha kusikitisha kote ulimwenguni: hekta milioni 7 huharibiwa kila mwaka, sehemu iliyo karibu kutoshana na nchi ya Ureno.

The Work