Matumizi na uzalishaji wa nishati huchangia pakubwa katika ongezeko la joto duniani na huchangia takribani theluthi mbili ya hewa ya ukaa kutokana na matendo ya binadamu.