Licha ya teknolojia kuwa chanzo cha uhahibikaji wa mazingira, hutupa matumaini ya kuwa na maendeleo ya kudumu siku zijazo.