Uchimbaji wa madini

Tunahimiza kuwe na mabadiliko chanya na njia nzuri za usimamizi wa sekta ya uchimbaji wa madini. Tunanuia kufanya madini, mafuta, na gesi kunufaisha wote kwa kuzidisha manufaa na kupunguza athari mbaya.

Changamoto

Uchumi kote ulimwenguni unategemea sana uchimbaji wa mali ghafi, hali inasababisha madhara makubwa kwa mazingara na kwa afya ya binadamu.

The Work