Uchumi usiochafua mazingira

Tunapendekeza kuwe na uchumi ulio na hewa ya ukaa kwa kiwango cha chini, unaotumia rasilimali kikamilifu na unaojali masilahi ya jamii.

Changamoto

 Iwapo hali itaendelea jinsi ilivyo, matumizi ya rasilimali kwa kila mtu ulimwenguni yataongezeka kwa asili mia 70 ifikapo mwaka wa 2050.

The Work