Cyclist

Usafiri

Tunahimiza matumizi ya vyombo vya usafiri vya kudumu na visivyochafua mazingira sana na hivyo tunafanya kazi kupunguza mchango wa sekta hii katika uchafuzi wa hewa na katika mabadiliko ya tabia nchi.

Changamoto

Pale ambapo idadi ya magari madogo yanatajiwa kuongezeka mara tatu zaidi ifikiapo mwaka 2050, gesi ya ukaa kutoka sekta ya usafiri inaongezeka kwa kasi kuliko sekta ingine yoyote.

 

The Work