Usalama dhidi ya vimelea

Tunazisaidia serikali kupunguza athari za bayoteknolojia kwa bayoanwai na kwa afya ya binadamu.

Changamoto

Bayoteknolojia ya kisasa inaweza kuleta manufaa mengi. Lakini, kuna hofu ya kwamba inaweza kuwa na madhara makubwa kwa bayoanwai na kwa afya ya binadamu.

 

The Work